Mimi ni mvulana na napendeal kushirikia na watu walio makini na vitu wanvyo vifanya na kutenda na wenye kujiamini ipasavyo kama inavyo takikana hivyo basi nachukua fursa hii kumkaribisha mtu yeyote anaejisikia kushirikiana na mimi katika mambo mbalimbali na tofauti tofauti kwani siku zote uwa napenda kuwa hivyo kwani hiyo ni kama mfumo wa maisha yangu ya kila siku pote ninapokuwapo, Lakini sipendelei watu wanochukuwa fursa kama hizi kupitia mitandao fotautitofauti kuendeleza ubadhilife na udanganyifu wao kwa wantu wengine walio kuwa makini kwa kila jambo wanalolitenda kama nilivyo mimi.

 

Hivyo basi kama wewe una jihisi ni mpweke na umetengwa na watu kam nilivyotengwa mimi basi nachukuwa fursa hii kukukaribisha tufanye majdiliano naliyo kuwa ya kimsingi na kueleweka na yenye umakini ulio sa hihi kabisa.

 

Wako mtiifu, Rajab R.Sanzi

E-mail me when people leave their comments –

You need to be a member of Peacepink3 to add comments!

Join Peacepink3