Mimi ni muathirika wa mtingo wa mawazoc"TI"kwa miaka mingi sasa ambayo ni takribani miaka 14 hadi sasa na wakati mwingine najikuta napoteza fahamu kabisa na kumbukumbu katika kichwa changu kwa vipindi tofauti tofauti na baada ya muda uwa na rejea katika haki yangu ya kawaida na hali hii usababishwa na utokana pindi tu ninapojaribu kukumbuka mambo mbalimbali ambayo yalinitokea katika nyakati tofauti tofauti katika mfumo wa maisha yangu tangu nilipokuwa mdogo wa umri wa miaka 8 hadi mpaka sasa kwani mimi ni "TI" wa vitu vikuu vitatu navyo ni kama vifuatavyo, Nimekulia katika malezi ya upande wa mzazi mmoja kati ya wazazi wangu wa wili bila ya kupata ushirikiano, uduma wala msaada wa aina yoyote kutoka upande wa mzazi wangu mwingine , Pia niliteswa sana pindi nilipokuwa mdogo kwani mama yangu hakuwai kuwa karibu na mimi sana muda mwingi kwani yeye alikkuwa ni mtu wa safari za mara kwa mara kutokana na kufuatana na shughuli zake alizokuwa anazifanya za kumpatia kipato chake kwani pindi alipo nizaa mimi alikuwa tayari amesha pumzika kazi aliyokuwa anfanya kwa takribani miaka 25 iliyo pita kabla ya kuzaliwa kwangu, Na vilivile mimi mtingwa mkubwa ma mawazo juu ya swala la masomo na shule yangu kwani mnamo mwaka 2006 nilishindwa kuendelea na masomo yangu ya elimu ya juu kutokana sababu ya kukosa karo ya kulia shule kwani mama yangu hakuwa na uwezo tena wa kuweza kuendelea kunilipia mimi karo yangu ya shule ili niweze kuendelea na elimu ya juu nayo ilisababishwa na kutokana kwanza mama yangu umri wake ulikuwa umeshaenda halafu kipato chake kilikuwa kidogo na hafifu hivyo basi kilikuwa hakitoshi na wala hakiwezi kumwezesha yeye kuendelea kunilipia karo ya shule kwani alikuwa simwenye kuweza kufanya kazi ya aina yeyote kwani ni mzee na halafu ameshapatwa na matatizo ya miguu.

 

Hayo juu ndivyo ilivyo tokea kwangu na yavyo nikuta mimi.

 

Wako, Rajab R. Sanzi

E-mail me when people leave their comments –

You need to be a member of Peacepink3 to add comments!

Join Peacepink3